Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI MWANAIDI ALI KHAMIS,DK.CHAULA WATETA NA BALOZI POLEPOLE NCHINI MALAWI

Written by mzalendoeditor

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amemtembelea Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Humphrey Polepole , Naibu Waziri huyo yupo nchini Malawi kushiriki Mkutano wa Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Jinsia/Wanawake wa nchi Wanachama wa SADC.

Katika ujumbe wake Naibu Waziri Mwanaidi ameambatana na Katibu Mkuu Dkt Zainab Chaula Wizara hiyo na Maafisa wengine waandamizi.

About the author

mzalendoeditor