Featured Kitaifa

M-MAMA KUIFIKIA MIKOA YA LINDI NA MOROGORO

Written by mzalendoeditor

NA OR-TAMISEMI

SERIKALI inaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma ya Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura kwa Wanawake Wajawazito na Watoto Wachanga (M-Mama) ambapo ifikapo Julai 2022 mikoa ya Lindi na Morogoro itafikiwa na huduma hiyo.

Huduma yenye lengo la kuepusha vifo vya mama na mtoto kabla,baada na wakati wa kujifungua.

Hayo yamebainishwa leo Juni 9, 2022 katika kikao kazi cha Idara ya Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI pamoja na wadau kutoka Taasisi za Vodafone na Touch ambao wanashirikiana na Serikali katika kuhakikisha huduma ya M-Mama inaifikia mikoa yote 26.

Akizungumza wakati wa kikao hicho, Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya R…
[8:30 am, 10/06/2022] Catrincylvia_Tamisemi: PIC 1: Mkurugenzi wa Taasisi ya Touch Bi. Linda Geng akizungumza katika Kikao Kazi cha Idara ya Afya OR-TAMISEMI na taasisi za Touch na Vodafone.

PIC 2: Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt. Ntuli Kapologwe akizungumza katika kikao kazi cha Idara ya Afya OR- TAMISEMI na Taasisi za Touch na Vodafone.

PIC 3: Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodafone Dorolosa Duncan akizungumza katika kikao kazi cha Idara ya Afya OR-TAMISEMI na Taasisi za Touch na Vodafone.

About the author

mzalendoeditor