Featured Kitaifa

SERIKALI YAJIPANGA KUBORESHA KIWANJA CHA NDEGE MPANDA

Written by mzalendoeditor

Mkaguzi wa Jeshi la Zima Moto Kiwanja ch Ndege cha Mpanda Said Simba akieleza kwa Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi (kushoto) shughuli zinazofanywa na jeshi hilo kiwanjani hapo, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea kiwanja hicho Mkoani Katavi.

Msimamizi wa kituo cha hali ya hewa katika kiwanja cha ndege cha Mpanda, Leonard Katwale akieleza kwa Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi namna moja ya kifaa cha hali ya hewa kinavyotumika, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea Kiwanja cha Ndege cha Mpanda, Mkoani Katavi.

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi akimsikiliza Meneja Kiwanja cha Ndege cha Mpanda Jeff Shantiwa kuhusu vifaa mbalimbali vinavyotumika wakati wa uendeshaji wa kiwanja, wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea kiwanja hicho Mkoani Katavi.

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi akitoa maelekezo kwa Meneja Kiwanja cha Ndege cha Mpanda Jeff Shantiwa (kulia) na Msimamizi wa kituo cha hali ya hewa katika kiwanja cha ndege cha Mpanda, Leonard Katwale wakati Naibu Katibu Mkuu huyo alipotembelea kiwanja hicho Mkoani Katavi.

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi katika picha ya pamoja  Watendaji wanaofanya kazi katika Kiwanja cha Ndege cha Mpanda baada ya alipotembelea kiwanja hicho Mkoani Katavi.

(Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi)

About the author

mzalendoeditor