Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA MAKAMU WA RAIS AKIWASILI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka ,Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Pindi Chana pamoja na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea mkoani Dar es salaam leo tarehe 8 Juni 2022.

About the author

mzalendoeditor