marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

grandpashabet giriş

palacebet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

celtabet, celtabet giriş

jasminbet, jasminbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

trendbet

padişahbet

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

nakitbahis

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

imajbet

lunabet

holiganbet

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

Grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

holiganbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

superbetin

deneme bonusu

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

tipobet

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casinomilyon

betist

betist

Featured Kitaifa

BENKI YA NBC YAWEKA KAMBI KANDA YA KASKAZINI,KUAMSHA SEKTA YA UTALII,BIASHARA NA KILIMO

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw John Mongella akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NBC  kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa jijini Arusha ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club.

Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NBC  kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani Manyara ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club.

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Dk Kassim Hussein akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyokwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa Mkoani Manyara hivi karibuni ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara kwa wateja binafsi Benki ya NBC, Elibariki Masuke (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw John Mongella wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo mwishoni mwa wiki kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa jijini Arusha ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara kwa wateja wadogo na wa kati wa benki hiyo, Bw Elvis Ndunguru akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyokwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani Manyara ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club.

Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali wa Benki ya NBC, Bw Mussa Mwinyidaho akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NBC  kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani Manyara hivi karibuni ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club.

Meneja Bidhaa na Huduma za Kibenki kutoka Benki ya NBC Bw Jonathan Bitababaje akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NBC  kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani Manyara ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club.

Baadhi ya wageni waalikwa ambao ni wateja wa benki ya NBC jijini Arusha wakiwa kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa jijini Arusha ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club

Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa benki ya NBC pamoja na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NBC  kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa mkoani Manyara ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia huduma yake ya NBC Biashara Club.

……………………………………..

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeelezea dhamira yake ya kukuza na kuchochea ukuaji wa kiuchumi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini kwa kukuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali katika kukuza sekta ya Utalii, kilimo, ufugaji na Biashara.

Katika kuthibitisha dhamira yake hiyo, viongozi waandamizi wa benki hiyo wakiwemo wawakilishi wa bodi ya wakurugenzi, wakurugenzi na wakuu wa Idara mbalimbali wa benki hiyo mwishoni mwa wiki walitembelea mikoa ya Manyara, Arusha na Karatu wakilenga kukutana na wateja wao katika sekta hizo ili kwa pamoja waweze kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma mpya zitolewazo na benki hiyo.

Akizungumza kuhusu matukio hayo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara kwa wateja binafsi Benki ya NBC, Elibariki Masuke alisema kupitia hatua hiyo wameweza kukutana na wateja wao na hiyo hatua kupata wasaa wa kutambulisha huduma zao mpya sambamba na kupokea mrejesho kuhusu mahitaji ya wateja wao hususani kipindi hiki ambacho mikoa hiyo ipo kwenye mkakati wa kuboresha zaidi sekta ya utalii.

“Rais wetu na serikali kwa ujumla wamefanya jitihada kubwa katika kuinua sekta ya utalii na hivyo sisi kama wadau muhimu kwenye hilo tumeona tuje kumuunga mkono kufanikisha adhma yake hiyo. Kupitia huduma yetu ya NBC Biashara Club tumeweza kukutana na walengwa ambao ni wateja wetu na tumeweza kujadili na kuwasilisha huduma zetu mpya zinazoendana na dhamira hii kuu ya kukuza utalii ikiwemo huduma yetu ya mikopo ya magari ya utalii huku dhamana ikiwa ni magari yenyewe,’’ alisema.

Alitaja huduma nyingine kuwa ni pamoja na huduma ya mikopo ya zana za kilimo yakiwemo matrekta huku dhamana ikiwa ni kifaa chenyewe, mikopo ya wazabuni pamoja na mikopo ya wafanyabiashara wanaonza biashara inayofahamika kama ‘NBC Kua Nasi’.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara kwa wateja wadogo na wa kati wa benki hiyo, Bw Elvis Ndunguru alisema kupitia dhamira hiyo, benki hiyo inatarajia kuboresha zaidi huduma yake ya malipo ya POS ili kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato yakiwemo yale ya fedha za kigeni.

“Sekta ya utalii inachangia zaidi ya asilimia 25 ya fedha za kigeni. Kwa hiyo uboreshaji wa mfumo wa ukusanyaji wa mapato ni muhimu sana hivyo mwisho mwa mwezi huu tunataraji kuzindua huduma yetu ya POS iliypboreshwa zaidi kwa ajili ya malipo ya Dolan a Shilingi. Na pia tunatarajia kuongeza huduma ya American Express kwenye mfumo huo ili kuhudumia pia wateja wa Marekani,’’ alisema.

Akizungumzia hatua ya benki hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw John Mongella alisema imekuja wakati muafaka kwa kuwa kupitia jitihada za Rais Samia Suluhu na serikali za kuboresha sekta ya utalii nchini, ukanda huo unatarajia kupokea watalii wengi zaidi mwaka huu, hivyo maboresho zaidi katika huduma za kifedha ni muhimu.

“Kwa mfano mkoa wetu wa Arusha tunategemea utalii kwa asilimia 80.Tayari Rais ameshafanya jitihada nyingi za kufanikisha ukuaji wa sekta ya utalii kilichobaki ni sisi viongozi na wadau wengine kumuunga mkono kama wanavyofanya NBC kwasasa. Tunaamini jitihada zao hizi mbali na sekta ya utalii tutaona mabadiliko makubwa katika sekta za kilimo, biashara na ufugaji pia…tunawashukuru sana,’’ alisema.

Akiishukuru benki hiyo kwa niaba ya wateja wote, Muhandisi Matoleo Ouden ambaye ni mfanyabiashara jijini Arusha alisema kupitia ujio wa viongozi hao waandamizi wameweza kupata wasaa wa kuwasirisha mahitaji yao kwa viongozi waandamizi wa benki hiyo ili yaweze kufanyiwa kazi na maamuzi kutoka ngazi ya juu.

About the author

Alex Sonna