Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

TBS IMEWEKA MIFUMO YA KUDHIBITI ILI KUHAKIKISHA CHAKULA KILICHOPO SOKONI NI SALAMA-MHANDISI MAGANGA

Written by Alex Sonna

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mhandisi Johaness Maganga (katikati) akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day) yaliyofanyika leo Juni  7,2022 katika ofisi za TBS Jijini Dar es Salaam.  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mhandisi Johaness Maganga akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day) yaliyofanyika leo Juni  7,2022 katika ofisi za TBS Jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora Shirika la Viwango Tanzania, Bw.Lazaro Msasalaga  akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day) yaliyofanyika leo Juni  7,2022 katika ofisi za TBS Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi kutoka Shirika la Afya la Umoja wa Kimataifa (WHO) Bi.Rose Shija akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day) yaliyofanyika leo Juni  7,2022 katika ofisi za TBS Jijini Dar es Salaam. Afisa Afya na Mazingira kutoka Wizara ya Afya (Wizara ya Afya) Bi.Josephine Kapinga akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day) yaliyofanyika leo Juni  7,2022 katika ofisi za TBS Jijini Dar es Salaam. Afisa Biashara kutoka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara  Bw.Denis Mzamily akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day) yaliyofanyika leo Juni  7,2022 katika ofisi za TBS Jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya wadau mbalimbali wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day) yaliyofanyika leo Juni  7,2022 katika ofisi za TBS Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

**************************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Makadirio yaliyofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 2015 yanaonesha kuwa kila mwaka, zaidi ya watu milioni 600 duniani huugua, na watu 420,000 kati yao hufa kutokana na kula chakula kisicho salama. Magonjwa haya hutokea zaidi kwa watu wenye kipato cha chini na zaidi kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.

TBS imeweka mifumo ya kiudhibiti ili kuhakikisha kuwa chakula kilichopo katika soko hapa nchini ni salama ili kuilinda jamii dhidi ya madhara yatokanayo na kula chakula kisicho salama.

Ameyasema hayo leo Juni 7,2022 katika Ofisi za TBs Jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mhandisi Johaness Maganga wakati akizungumza na wadau mbalimbali katika kuadhimisha Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day).

Amesema mara kadhaa TBS imekuwa ikishirikiana na wadau wa chakula ili kufikia lengo la kuwa na chakula salama katika soko, hivyo basi maadhimisho haya yamewashirikisha pia wadau wa usalama wa chakula kutoka wizara na taasisi mbalimbali za serikali na za kimataifa, ikiwemo Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Wizara ya Afya, Wizara ya Kilimo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Taasisi ya Chakula na Lishe pamoja na Mamlaka ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Vilevile, ofizi za mashirika ya kimataifa, Shirika la Afya la Umoja wa Kimataifa (WHO) pamoja na Shirika la Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) wamejumuika nao katika maadhimisho haya. 

“Tunatambua mchango mkubwa kutoka kwa wadau hawa katika kuhakikisha usalama wa chakula nchini, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika masuala mbalimbali kama vile kuandaa sera, kanuni na miongazo mbalimbali katika uzalishaji, usafirishaji, uuzaji na uandaaji wa chakula”. Amesema Mhandisi Maganga.

Aidha Mhandisi Maganga amesema kutokana na suala la usalama wa chakula kuwa mtambuka, mfumo thabiti wa udhibiti wake unapaswa kuwa shirikishi, ukihusisha afya ya binadamu, wanyama, mimea na mazingira.

“Wanyama na mimea ndio chanzo kikubwa cha chakula cha binadamu. Afya ya wanyama ni muhimu ili kuepuka magonjwa yanayoambukizwa kwa binadamu kwa kula nyama kutoka kwa wanyama hao”. Amesema 

Pamoja na hayo ameeleza kuwa kuadhimisha Siku ya Chakula Salama Duniani kwa mwaka 2022, TBS imejikita katika kutoa elimu kwa jamii kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mada na matangazo kuhusu usalama na ubora wa chakula zimekuwa zikitolewa katika redio, televisheni, magazeti na mitandao ya kujamii kwa wiki moja, kuanzia tarehe 30 Mei, 

Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Shirika la Afya la Umoja wa Kimataifa (WHO) Bi.Rose Shija amesema WHO imeongoza juhudi za kutathmini ukubwa wa tatizo la magonjwa yatokanayo na chakula kisicho salama duniani na imesaidia nchi kujenga au kuimarisha mifumo ya kitaifa ya ufuatiliaji wa magonjwa yatokanayo na chakula kisicho salama.

Amesema WHO imehakikisha kuwa viwango vya kimataifa vya usalama wa chakula Codex Alimentarius vinazingatia afya ya Umma na kwamba nchi zilizo na uwezo mdogo zinajengewa uwezo ka kushiriki kwenye mafunzo ya Codex.

“Tunatoa wito kwa wadau wote kukuza na kuendeleza utamaduni wa usalama wa chakula na pia kuzingatia viwango vya chakula vya kimataifa na vya ndani, kukuza utunzaji salama wa chakula pamoja na kutoa elimu ya usalama wa chakula.

About the author

Alex Sonna