Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI APIGA KURA KUMCHAGUA MWENYEKITI WA CCM TAWI LA KILIMANI

Written by mzalendoeditor

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga Kura yake  kumchagua Mwenyekiti wa CCM Tawi la Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu) 

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-6-2022.(Picha na Ikulu)

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuagana Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi baada ya kumaliza kupiga kura yake kumchangua Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu) 

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la CCM Kilimani wakati wa zoezi la Uchaguzi kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kilimani na Wajumbe wa Tawi,  uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022 katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor