Featured Michezo

MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA WANAWAKE RUANGWA QUEENS

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa Juni 3, 2022 alitembelea kambi ya timu ya mpira wa Migu ya wanawake , Ruangwa Queens. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akizungumza na wachezaji wa timu hiyo katika kijiji cha Namakonde, Kata ya Nachingwea, Ruangwa

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Ruangwa Queens wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambye pia ni Mbunge wa Ruangwa wakati alipotembelea kambi yao katika kijiji cha Namakonde  wilayani Ruangwa, Juni 3, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor