Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA MAKAMU WA RAIS ATETA NA MFALME WA SWEDEN CARL GUSTAV

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Mfalme wa Sweden Mtukufu Carl XVI Gustav wakati alipomtembelea na kufanya mazungumzo  katika Nyumba ya Kifalme Stockholm nchini Sweden mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Stockholm +50 unaoendelea nchini Sweden.

About the author

mzalendoeditor