marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

perabet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

celtabet

Featured Kitaifa

BONDE LA PANGANI YAZINDUA KAMPENI UWEKAJI MIPAKA HIFADHI ZA VYANZO VYA MAJI,MEYA JIJI LA ARUSHA AKEMEA UJENZI NDANI YA MITA 60

Written by Alex Sonna
Meya wa Jiji la Arusha Maximilian Iranqe akiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uwekaji mipaka katika hifadhi za vyanzo vya maji Jiji la Arusha.
Mkurugenzi wa bodi ya maji ya bonde la mto Pangani  Segule Segule akiongea na waandishi wa habari katika uzinduzi wa kampeni ya uwekaji mipaka katika hifadhi za vyanzo vya maji.
Meya wa Jiji la Arusha Maximilian Iranqe akishirikiana na Mkurugenzi wa bodi ya maji ya bonde la mto Pangani Segule Segule kuzindua kampeni ya uwekaji mipaka katika hifadhi za vyanzo vya maji Jiji la Arusha
……………………………………………
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA
Bodi ya maji ya bonde la mto Pangani imezindua kampeni la uwekaji wa mipaka katika hifadhi ya vyanzo vya maji ili kuhakikisha vyanzo hivyo vinakua endelevu pamoja na kuzuia watu kufanya shughuli za kibinadamu ikiwemo ujenzi katika vyanzo hivyo.
Aidha kuutokana na ongezeko la makazi holela katika vyanzo vya maji jijini Arusha Meya jiji la Arusha Maximilian Iranqe amewataka maofisa wa mipango miji kujitathmini juu ya utoaji vibali vya ujenzi katika maeneo ya hifadhi ya vyanzo vya maji ndani ya mita 60.
Meya alitoa rai hiyo wakati akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hiyo ambapo alisema kuwa anawashangaa maafisa mipango miji kutoa vibali vya ujenzi katika hifadhi ya mito huku wakijua na kinyume na sheria ya utunzaji wa vyanzo hivyo, hivyo ni vyema wakajitafakari.
“Kupitia hilo napenda kutoa rahi kwa wananchi wa jiji la Arusha kuhakikisha wanatunza mazingira katika vyanzo vya maji na kuendesha  shughuli za kibinadamu pembezoni mwa mito ndani ya mita 60 ni kinyume na sheria,”alisema Meya.
Alisema kupitia zoezi hilo la uwekaji wa alama ni kuwajulisha ujenzi walioufanya ndani ya mita 60 sio mahali sahihi na mito inayoongoza kwa makazi ya watu ni mto Ngarenaro,Kijenge na Themi hivyo ni vyema wadau wa mazingira wakawekeza elimu katika maeneo hayo.
Akiendelea kusema kuwa  pamoja na bonde la Pangani kuweka alama hizo kwa ajili ya kuwajulisha wananchi maeneo ya hifadhi ya mito ambayo hairuhusiwi pia halmashauri ya jiji la Arusha wataongeza beaconi kwa ajili ya kumalizia zoezi hilo.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa bodi ya maji bonde la mto Pangani,Segule Segule alisema ili kuhakikisha vyanzo vya maji vinakuwa endelevu ni lazima kuanzia katika vyanzo husika na kusimamia kwa lengo la kuhakikisha hayaleti madhara kwa watu.
“Maji pia yasipotumika vyema yanaweza kuwa ni silaha mbaya kwa binadamu na kutokana na vyanzo hivho kuwepo katika sehemu mbalimbali ushiriki wa wadau ni muhimu sana ni vyema kila mmoja akatekeleza wajibu wake katika nafasi yake katika maeneo mbalimbali,”alisema.
Segule Segule alisema zoezi hilo la uwekaji alama limeanza katika mto Naura lengo ni pamoja na kuhamasisha utunzaji wa vyanzo vya maji ikiwa shughuli za binadamu zinatakiwa kufanyika nje ya mita 60 kingo za vyanzo.
Kwa upande wake Afisa mazingira kutoka bodi ya maji bonde la mto Pangani,Felista Joseph alisema changamoto zilizopo katika mto Naura ni pamoja na shughuli za kibinadamu,ujenzi wa makazi ya watu katika eneo la chanzo cha mto Naura na utupaji wa taka ngumu.
“Shughuli mbalimbali za biandamu zimekuwa zikiathiri ubora wa maji hivyo uwekaji wa alama hizo zitakwenda kuondoa baadhi ya changamoto hizo ili yeyote anapokiuka sheria apate adhabu kwa mujibu wa kanuni,”Alisema.

About the author

Alex Sonna