Featured Michezo

REAL MADRID YAIZAMISHA LIVERPOOL NA KUTWAA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Written by mzalendoeditor

TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la UEFA Champions League  kwa mara ya 14 ya rekodi baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Liverpool, bao pekee la Vinícius Júnior dakika ya 59 usiku wa jana Uwanja wa Stade de France, Saint-Denis nchini Ufaransa.

About the author

mzalendoeditor