Featured Kitaifa

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UELEWA WAFANYAKAZI WA WHMTH KUHUSU MRADI WA TANZANIA YA KIDIGITALI ARUSHA

Written by mzalendoeditor

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bi. Teddy Njau akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiiano na Teknolojia ya Habari kuhusu mradi wa Tanzania ya kidijitali, Mafunzo hayo yanafanyika katika Hoteli ya Masai land Jijini Arusha 

Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali Honest Njau akiwasilisha mada kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiiano na Teknolojia ya Habari kuhusu mradi wa Tanzania ya kidijitali, Mafunzo hayo yanafanyika katika Hoteli ya Masai land Jijini Arusha 

Watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiiano na Teknolojia ya Habari wakifuatilia wasilisho kuhusu mradi wa Tanzania ya kidijitali, Mafunzo hayo yanafanyika katika Hoteli ya Masai land Jijini Arusha 

About the author

mzalendoeditor