Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU: TIMU YA MAWAZIRI WANANE INAHUSIKA NA MIGOGORO MIKUBWA TU

Written by Alex Sonna

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…………………………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu ya mawaziri wanane kutoka wizara shiriki inashughulikia migogoro mikubwa tu ya ardhi ambayo hulazimu kukutanisha wataalamu kutoka wizara husika.

Ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Mei 19, 2022) Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbarali, Bw. Francis Mtega kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu ambaye aliuliza ni kwa nini baadhi ya maeneo yenye migogoro nchini hayajajumuishwa kwenye Kamati ya Mawaziri nane wa sekta husika.

“Migogoro hii ina ngazi mbalimbali za utatuzi na sisi Serikali tumeweka utaratibu. Kwanza, migogoro yote ya ardhi, inaratibiwa katika ngazi ya kijiji, na hii kamati ya kijiji inaweza kutatua migogoro kwa kukutanisha wenye migogoro. Baada ya hapo inaenda ngazi ya kata, wilaya na kisha ngazi ya mkoa.”

Amesema Kamati ya Mawaziri nane imeendelea kufanya kazi ya kubainisha maeneo tangu mwaka 2019 na tayari ilishapeleka taarifa Bungeni ya vijiji vilivyofikiwa na kubainisha vijiji vilivyokuwa na migogoro.

“Taarifa ilibainisha maeneo ya migogoro baina ya wakulima na wafugaji, wakulima na maeneo ya hifadhi. Kamati ya Mawaziri inaendelea kubaini maeneo yenye migogoro yenye tija na yasiyo na tija ili kila mmoja aendelee kufanya kazi yake, iwe ni ufugaji, kilimo au uvuvi. Pindi kazi hiyo ikikamilika, tutatoa taarifa ili Waheshimiwa Wabunge muwe na taarifa ya maeneo yenu,” amesema.

Amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imeridhia maeneo ya hifadhi yasiyo na tija na imeruhusu wananchi waendelee kufanya kazi zao.

Wakati huohuo, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kutoa ruzuku kwenye mazao yanayolimwa nchini kulingana na uhitaji uliopo na aina ya mazao.

“Upo mkakati wa Serikali wa kutoa ruzuku kwa mazao mbalimbali ikiwemo kahawa kutegemea na aina ya mazao husika. Ruzuku inategemea aina ya zao na mahitaji yake makubwa. Kuna mahitaji ya miche, dawa, mbegu, mbolea au ya maghala,” amesema.

Alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Bi. Esther Malleko ambaye alitaka kujua Serikali ina mkakati gani wa kuhakikisha kuwa zao la kahawa linapatiwa ruzuku kwa vile halijawahi kuwekewa ruzuku ikilinganishwa na mazao mengine ya kimkakati.

“Juzi nilikuwa Bukoba kwenye kikao na wadau wa zao hilo. Kule wanahitaji zaidi miche na vyama vikuu vya msingi walisema wana upungufu wa maghala. Niliwahi kwenda Mbinga, wao wanahitaji zaidi mbolea kwa sababu kule bila mbolea, huwezi kukuza zao hilo.”

Waziri Mkuu amesema Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati akihitimisha bajeti ya wizara yake, ameahidi kujenga maghala 300 kule Kagera kwa sababu tunajiandaa kuingia kwenye mfumo wa stakabadhi za mazao ghalani na bila maghala kuwepo huwezo kutumia mfumo huo.

Amemuahidi mbunge huyo kuwa ikifika zamu ya ruzuku kwa mkoa wa Kilimanjaro, yataangaliwa kwanza mahitaji yao ni yapi na utaangaliwa mpango wa Serikali kutoa ruzuku ukoje ili kuona kama unaendana na mahitaji yao.

About the author

Alex Sonna