Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA WANANCHI WA MKOA WA TABORA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo 19 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Tabora katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani humo.

Sehemu ya Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Tabora waliohudhuria Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022

kikundi cha burudani cha kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma kikitumbuiza katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022

Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Tabora wamkimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Mkoa na Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Ndege wa Tabora mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022.

About the author

mzalendoeditor