Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ACKSON AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kujadili Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge leo Mei 17, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akishiriki kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kujadili Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge leo Mei 17, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kujadili Mabadiliko ya Ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge leo Mei 17, 2022 Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe. Stanslaus Nyongo, Mbunge wa Kondoa Mjini, Mhe. Ally Makoa na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor