Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA UGENI KUTOKA NACOPHA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA SEKTA YA AFYA (CHINI YA MFUKO WA MKAPA FOUNDATION)

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi kutoka Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Ndg. Leticia Mourice (watatu kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NACOPHA, Ndg.  Deogratius Rutatwa (wapili kushoto) walipomtembelea leo Mei 16, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi kutoka Asasi za Kiraia katika Sekta ya Afya (Chini ya Mfuko wa mkapa Foundation) walipomtembelea leo Mei 16, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor