Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akizungumza na Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleSPIKA DKT. TULIA ATETA NA UGENI KUTOKA NACOPHA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA SEKTA YA AFYA (CHINI YA MFUKO WA MKAPA FOUNDATION)
Next articleRAIS SAMIA ATETA NA MWENYEKITI WA CUF PROF. IBRAHIM LIPUMBA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here