Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJU WA SHIRIKA LA PELEKS IKULU

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Shirika la Peleks Prof Dr.Yousef Al Alawi  akizungumza wakati wa mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-5-2022, baada ya kumaliza utoaji wa huduma za upasuaji kwa Wananchi katika Hospitali ya Chakechake na Wete Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Madaktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Shirika la Peleks, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, baada kumaliza utoaji wa huduma ya upasuaji kwa Wananchi wa Pemba uliofanyika katika Hospitali ya Chakechake na Wete Pemba.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor