Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA WAFANYABIASHARA WA SEKTA BINAFSI JIJINI KAMPALA NCHINI UGANDA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Jijini Kampala katika Mkutano wa Biashara wa Sekta Binafsi uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta hiyo kutoka Tanzania na Uganda

Mawaziri pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali kutoka nchini Tanzania wakiwa katika Mkutano wa Biashara uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta Binafsi kutoka Tanzania na Uganda 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Nchini Uganda Jijini Kampala, baada ya kumalizika Mkutano wa Biashara uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta Binafsi kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.

About the author

mzalendoeditor