Featured Kitaifa

KAMATI YA BAJETI YATETA NA SEKTA YA UJENZI

Written by mzalendoeditor

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika kikao kazi kati ya Kamati hiyo na wataalam wa Sekta ya Ujenzi kilichofanyika jijini Dodoma, kulia kwa Naibu Waziri ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye ni Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo akifuatilia.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. Daniel Sillo akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya na wataalam wake katika kikao kazi kati ya Sekta ya Ujenzi na Kamati hiyo.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti (hawapo pichani), katika kikao kazi kati ya Kamati hiyo na wataalam wa Wizara ya Ujenzi kilichofanyika jijini Dodoma.

About the author

mzalendoeditor