Featured Kitaifa

UKATILI WA KIUCHUMI UNAWAUMIZA WANAUME KISAIKOLOJIA

Written by mzalendoeditor

Ukatili wa kiuchumi umetajwa kuwa moja ya ukatili mkubwa ambao unaowakumba Wanaume Nchini. Utafiti wa Jeshi la Polisi umebaini hali hiyo imekuwa ikitokea mara nyingi katika mikoa tofauti

Msaidizi wa Mratibu wa Dawati la Jinsi na Watoto wa Polisi, ACP Faidha Suleiman anasema “Baadhi ya mambo ya ukatili wa kiuchumi ni Wanaume kutokuwa na Mamlaka ya fedha wanazozitafuta, kuombwa sana hela, kunyang’anywa kadi za benki au mishahara n.k”

Amesema ukatili mwingine ni kunyimwa haki ya kuwa na mtoto baada ya kutengana na mwenza na Wanaume kupigwa na wenza wao.

CHANZO:JAMIIFORUMS

About the author

mzalendoeditor