Featured • Kitaifa MAKAMU WA RAIS ATETA NA JAJI WARIOBA 3 years agoby mzalendoeditor97 Views Written by mzalendoeditor Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn