marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

escort bayan

imajbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

ultrabet giriş

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

casibom

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

trendbet giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

padişahbet giriş

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

vaycasino giriş

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

bahis siteleri

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

eminevim

tipobet

tipobet giriş

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

Featured Kitaifa

MAJALIWA AKAGUA KIWANDA CHA BARAKOA CHA MSD

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia utengenezaji wa barakoa katika kiwanda cha Bohari  ya Dawa (MSD), keko jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza, Twahir Mgoolo ambaye ni msimamizi wa kiwanda cha barakoa cha MSD kilichopo Keko jijini  Dar es salaam, kuhusu utengenezaji wa barakoa kiwandani hapo, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia utengenezaji wa dawa za vidonge  wakati alipotembelea kiwanda cha dawa cha Keko jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Bohari ya Dawa (MSD), Keko jijini Dar es salaam.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…………………………………………

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA BOHARI YA DAWA (MSD)

*Aagiza watu wote waliohusika na tuhuma zilizoainishwa na CAG wachukuliwe hatua

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu zilizoainishwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wachukuliwe hatua.

Mheshimiwa Majaliwa amesema hoja zote zilizotolewa katika ripoti ya CAG lazima zifanyiwe kazi na tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanyia kazi hoja zote zilizotolewa kuhusu MSD.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumatatu, Mei 09, 2022) wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa MSD baada ya kutembelea viwanda vya kutengeneza barakoa na dawa vilivyopo katika eneo la MSD, Keko jijini  Dar es salaam.

Akizungumzia kuhusu baadhi ya hoja za CAG, Waziri Mkuu amesema MSD ilifanya ununuzi wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni tisa (9) bila ya mikataba halali jambo ambalo si sahihi.

Pia, Waziri Mkuu amesema taasisi hiyo ilifanya malipo yenye thamani ya shilingi bilioni 3.52 kwa wazabuni sita (6) bila ya kufuata utarabu na wala kuitaarifu bodi ya zabuni ya MSD.

Waziri Mkuu amesema MSD ilifanya zabuni 23 zenye thamani ya shilingi bilioni 8.55 zilifanywa nje ya Mfumo wa Ununuzi wa TANeps unaosimamiwa na PPRA kinyume na matakwa ya sheria ya ununuzi.

“MSD ilifanya malipo ya awali kiasi cha shilingi bilioni 14.89 kwa wazabuni watano (5) bila ya mikataba yoyote au makubaliano mengine ambayo yanabainisha msingi wa malipo ya awali.”

Amewataja wazabuni hao kuwa ni Keko Pharmaceutical Industry; Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini; Nakuroi Investment Company Ltd.; Technical Services and General na Wide Spectrum (T) Ltd.

Waziri Mkuu amesema taasisi hiyo iliendesha mchakato wa ununuzi na kutoa mkataba wa kusambaza “Liquid Syrup” wenye thamani ya shilingi milioni 898 bila ya kushirikisha Bodi ya Zabuni ya MSD.

Amesema taasisi hiyo ilitumia kiasi cha shilingi milioni 215 kwa ajili ya kugharamia posho ya watumishi watatu waliokwenda China kwenye majadiliano ya kuleta mashine za dialysis kwa siku 61.

“Watumishi watatu wameenda China kufanya majadiliano kwa nini wasimtumie Balozi wa Tanzania nchini China kufanya shughuli hiyo. Si utaratibu kukaa siku 61 kwa ajili ya majadiliano tena  bila ya kuhusisha menejimenti ya taasisi.”

Mheshimiwa Majaliwa amesema katika taasisi hiyo kuna udhahifu wa usambazaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi licha ya kuwa wamelipwa. “Lazima mjipange vizuri katika utendaji kazi wenu.”

Amesema katika idara ya manunuzi kumebainika kuwepo kwa watumishi ambao si wataalamu, hivyo ameagiza wote 16 ambao si wataalamu waondolewe na kuwekwa watumishi wenye taaluma hiyo.

Mheshimiwa Majaliwa amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa MSD, Mavere Tukai afanye tathmini ya utendaji ndani ya MSD na achukue hatua pale atakapobaini kuwepo na dosari. “Ni muhimu kuimarisha eneo la ufuatiliaji.”

Kwa upande wake, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametumia fursa hiyo kumshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhakikisha Watanzania wanaendelea kupata dawa.

“Dawa ni maisha, dawa ni siasa na dawa ni biashara kwa sababu inagusa maslahi ya watu wote , hivyo tutaendelea kutekeleza maelekezo yote ya Mheshimiwa Rais ya kuhakikisha dawa zinapatikana.”

 Awali, Mkurugenzi Mtendaji wa MSD, Mavere Tukai alizitaja baadhi ya changamoto zinazoikabili taasisi hiyo kuwa ni pamoja na kuwepo na usiri wa bei za bidhaa za afya zinazoamuliwa na wasambazaji walioingia mikataba za wazalishaji.

Pia, changamoto nyingine aliyoitaja ni kutokuwepo kwa mfumo wa kupata taarifa za uhakika na uchambuzi wa kina wa masoko ya bidhaa bora na za bei nafuu pamoja na kuwepo kwa udhaifu katika kitengo cha manunuzi.

Alisema tayari taasisi imeweka mikakati ya kutatua changamoto hizo ikiwa ni pamoja na kukijengea uwezo kitengo cha manunuzi, kubadilisha mfumo mzima wa ununuzi kuanzia wazalishaji, intelijensia na tafiti za bei na masoko na mahusiano na washitiri.

Mkakati mwingine alioutaja ni kupitia upya muundo wa MSD pamoja na rasilimali watu kwa sababu tayari muundo ulioko sasa umeonesha changamoto hivyo ni lazima ufumuliwe.

About the author

Alex Sonna