Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KIGOMA KUSHIRIKI MSIBA WA ASKOFU KATALE

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma akisalimiana na Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Thobias Andengenye wakati alipowasili mkoani Kigoma kushiriki mazishi ya aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Ziwa Tanganyika la Kanisa la Morovian,Askofu Charles Katale yanayofanyika leo tarehe 7 Mei 2022.

About the author

mzalendoeditor