Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

betsmove, betsmove giriş

nakitbahis, nakitbahis giriş

perabet, perabet giriş

matbet, matbet giriş

belugabahis

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

casibom, casibom giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

flower disease

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

tümbet

hititbet giriş

ultrabet

madridbet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

hititbet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Cratosroyalbet

galabet

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

onlyfans leaks

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino siteleri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet

holiganbet

jojobet

meritking

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

truvabet, truvabet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet giriş

cratosroyalbet

betpark

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

pokerklas, pokerklas giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

casibom giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

grandpashabet

holiganbet

holiganbet

1win

radissonbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

betgit

Hacklink panel

betturkey

jojobet

grandpashabet

madridbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

meritking

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

galabet

bets10

betpark

casibom

marsbahis

betpark

runtobet

runtobet giriş

Featured Kitaifa

MABILIONI YATENGWA KWA AJILI YA WABUNIFU 2022/23

Written by Alex Sonna

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka,akifungua kikao cha pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma leo Mei 5,2022 jijini Dodoma kuwajengea uwezo kuhusu Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022  iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa FUNGUO inayoambatana na Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya MAKISATU yanayotarajia kufanyika kufanyika Dodoma kuanzia Mei 15 hadi 20, 2022.

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka,akifafanua jambo kwa washiriki (hawapo pichani) wakati wa kikao cha pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma leo Mei 5,2022 jijini Dodoma kuwajengea uwezo kuhusu Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022  iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa FUNGUO inayoambatana na Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya MAKISATU yanayotarajia kufanyika kufanyika Dodoma kuanzia Mei 15 hadi 20, 2022.

Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Maulilio Kipanyula,akizungumza wakati wa kikao cha pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma leo Mei 5,2022 jijini Dodoma kuwajengea uwezo kuhusu Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022  iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa FUNGUO inayoambatana na Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya MAKISATU yanayotarajia kufanyika kufanyika Dodoma kuanzia Mei 15 hadi 20, 2022.

Meneja wa Programu ya FUNGUO ya UNDP, Joseph Manirakiza,akieleza jambo kwa washiriki wakati wa kikao cha pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma leo Mei 5,2022 jijini Dodoma kuwajengea uwezo kuhusu Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022  kilichoandaliwa na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa FUNGUO inayoambatana na Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya MAKISATU yanayotarajia kufanyika kufanyika Dodoma kuanzia Mei 15 hadi 20, 2022.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka (hayupo pichani) wakati wa kikao cha pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma leo Mei 5,2022 jijini Dodoma kuwajengea uwezo kuhusu Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022  kilichoandaliwa na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa FUNGUO inayoambatana na Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya MAKISATU yanayotarajia kufanyika kufanyika Dodoma kuanzia Mei 15 hadi 20, 2022.

Mwakilishi wa Waandishi Mkoa wa Dodoma ambaye ni Mwandishi wa Redio Uhuru FM,Sakina Abdulmasoud,akitoa neno la shukrani kwa niaba ya waandishi mara baada ya kikao cha pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma leo Mei 5,2022 jijini Dodoma kuwajengea uwezo kuhusu Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022  kilichoandaliwa na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa FUNGUO inayoambatana na Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya MAKISATU yanayotarajia kufanyika kufanyika Dodoma kuanzia Mei 15 hadi 20, 2022.

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kikao cha pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma leo Mei 5,2022 jijini Dodoma kuwajengea uwezo kuhusu Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022  kilicoandaliwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa FUNGUO inayoambatana na Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya MAKISATU yanayotarajia kufanyika kufanyika Dodoma kuanzia Mei 15 hadi 20, 2022.

………………………………………..

Na Bolgas Odilo-DODOMA

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka amesema katika bajeti ya mwaka 2022/23 Wizara imetenga fedha Shilingi bilioni 5.5 kwa ajili ya kuweka mazingira wezeshi ya kubuni, kuendeleza ubunifu pamoja na kujengea uwezo Taasisi na mbunifu mmoja mmoja.

Hayo  ameyasema  leo Mei 4,2022 Jijini Dodoma ,wakati kikao cha pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma kuwajengea uwezo kuhusu Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022  iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa FUNGUO inayoambatana na Kilele cha Mashindano ya Kitaifa ya MAKISATU yanayotarajia kufanyika kufanyika Dodoma kuanzia Mei 15 hadi 20, 2022.

Amesema katika bajeti ya Mwaka 2021/22 inayoishia Juni 30 mwaka huu, kiasi cha Sh. bilioni moja kilitengwa kwa ajili ya kuendeleza wabunifu nchini ambapo tayari wengine wameshanufaika.

Aidha, amesema mpaka sasa Serikali imeshatumia takribani Sh Bilioni 2.3 kuendeleza takribani wabunifu 200 walioibuliwa na kutambuliwa na ubunifu wao kuingizwa kwenye kanzidata ya nchi.

“Wajibu wa Wizara pamoja na majukumu mengine ni kuibua, kutambua na kuendeleza ubunifu na teknolojia zinazozalishwa nchini na kuhamasisha matumizi yake katika kutatua changamoto za kiuchumi na kijamii,” amesema Prof.Sedoyeka.

Ameongeza kuwa sayansi na teknolojia ni muhimu duniani kote katika kuchochea kasi ya kimaendeleo, kiuchumi na kijamii na ndio maana Wizara imekuwa ikiwaibua na kuwandeleza wabunifu hao ili kuongeza tija katika uzalishaji wa bidhaa na hata utoaji huduma.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Maulilio Kipanyula amesema mwaka huu jumla ya wabunifu 862 kutoka makundi ya shule za Msingi na Sekondari, Vyuo vya Ufundi, Vyuo vya Ufundi wa Kati, Mfumo usio rasmi, Taasisi za Utafiti na Vyuo Vikuu wamewasilisha ubunifu wao kwa ajili ya kushindanishwa.

Ameongeza kuwa Wizara imeendelea kuandaa mazingira wezeshi ili wabunifu waweze kuonekana pamoja na ubunifu wao kuendelezwa kwa kushirikiana na wadau ili ubunifu uweze kufikia biashara.

Awali Meneja wa Programu ya FUNGUO ya UNDP, Joseph Manirakiza amesema wamekuwa wakishirikiana na Wizara katika kuwaendeleza wabunifu, kutoa msaada wa kitaalamu kwa wabunifu hao kupitia kumbi za atamizi lakini pia kushirikiana na Serikali kuweka mazingira rafiki ya wabunifu katika kuendesha biashara.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Waandishi Mkoa wa Dodoma ambaye ni Mwandishi wa Redio Uhuru,Sakina Abdulmasoud  ameishukuru Wizara hiyo kwa kuandaa semina ambayo imewasaidia kupata uelewa kuhusu mambo ya ubunifu.

Sakina ambaye ni Balozi wa Mazingira,amewataka wabunifu kubuni teknolojia ambazo ni rafiki katika masuala ya mazingira huku akisema  wataendelea kufanya kazi pamoja na Wizara hiyo.

”Nakipongeza kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara hiyo kwa kuonesha ushirikiano mkubwa kwa waandishi hivyo wataunganisha nguvu zao kama waandishi ili kuielimisha jamii juu ya bunifu’amesema Balozi Sakina

Wiki ya Ubunifu Tanzania kwa mwaka huu ina kauli mbiu “Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu” na inashirikisha wabunifu 86 ambao wameshindanishwa kutoka kwa wabunifu 862 waliowasilisha bunifu zao.

About the author

Alex Sonna