Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ASHIRIKI SALA YA EID EL FITRI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir, wakati aliposhiriki sala ya Idd El Fitri, iliyosaliwa kitaifa katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki sala ya Idd El Fitri, iliyosaliwa kitaifa katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza mawaidha yaliyotolewa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir, baada ya sala ya Idd El Fitri, iliyosaliwa kitaifa katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mei 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor