Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATOA MSAADA WA VYAKULA KUSHEREKEA SIKUKUU YA EID EL FITR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitoa msaada wa vyakula ikiwemo Mchele, mafuta ya kupikia, Sukari, Mbuzi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El-fitr kwa vikundi mbalimbali vya Watoto Yatima na wanaoishi katika mazingira magumu Jijini Dodoma, katika Iftari Ikulu Chamwino.

About the author

mzalendoeditor