marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis giriş

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

celtabet

Featured Kitaifa

KAMATI SMZ YA MAWASILIANO,ARDHI NA NISHATI  YAIPONGEZA TBA KWA KUTEKELEZA MIRADI VIZURI DODOMA

Written by Alex Sonna

Mratibu wa ujenzi wa nyumba 3,500 Nzugani Dodoma (Awamu ya kwanza nyumba 150) Fedrick Jackson,akitoa maelezo kwa  Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa ziara ya kutembelea TBA  na kujionea utendaji kazi wake ikiwa ni pamoja na kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma.

MUONEKANO wa nyumba 3,500 Nzugani Dodoma (Awamu ya kwanza nyumba 150)

KAMATI ya Baraza la wawakilishi inayohusiana na masuala ya Mawasiliano,ardhi na Nishati kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiendelea na ziara ya kukagua Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba awamu ya pili unaotekelezwa na TBA  jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kuduma ya Baraza la Wawakilishi Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati Mhe.Yahya Rashid Abdulla,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Kamati hiyo kutembelea Miradi ya ujenzi wa nyumba 20 za viongozi, ujenzi wa nyumba 3500 wa nyumba za watumishi wa umma Nzuguni B na Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba awamu ya pili inayotekelezwa na Wakala wa majengo Tanzania (TBA ) jijini Dodoma.

MJUMBE wa Kamati ya Kuduma ya Baraza la Wawakilishi Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati Mhe.Hussein Ibrahim Makungu akielezea ziara yao na kuipongeza TBA kwa kutekeleza miradi ya nyumba 3500 wa nyumba za watumishi wa umma Nzuguni B na Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba awamu ya pili inayotekelezwa na Wakala wa majengo Tanzania (TBA ) jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ),Joseph Kilangi,akizungumza mara baada ya Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar  kutembelea TBA  na kujionea utendaji kazi wake ikiwa ni pamoja na kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma.

MKURUGENZI Idara ya Ushauri TBA Bw.Wencelaus Kizaba,akiipongeza Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambayo imetembelea  TBA  na kujionea utendaji kazi wake ikiwa ni pamoja na kutembelea miradi inayotekelezwa na TBA jijini Dodoma.

Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba awamu ya pili inayotekelezwa na Wakala wa majengo Tanzania (TBA ) jijini Dodoma.

KAMATI  ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea Miradi ya ujenzi wa nyumba 20 za viongozi, ujenzi wa nyumba 3500 wa nyumba za watumishi wa umma Nzuguni B na Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba awamu ya pili inayotekelezwa na Wakala wa majengo Tanzania (TBA ) jijini Dodoma.

…………………………………………….

Na Bolgas Odilo-DODOMA

KAMATI ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi  ya Mawasiliano,Ardhi  na Nishati imeridhishwa na jinsi   Wakala wa Majengo nchini (TBA) unavyotekeleza miradi yake ambapo imesema imejifunza mambo mengi ambayo watashauri  kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Amesema mambo watakayoshauri ni pamoja na ujenzi wa miundombinu kabla ya miradi pamoja na usimamizi wa sera,sheria na kanuni katika kutekeleza miradi mbalimbali.

Hayo yameelezwa Jijini Dodoma  na Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Yahya Rashid Abdulla,mara baada ya kutembelea miradi mitatu ambayo ni ule wa   Mji wa Kiserikali Mtumba awamu ya pili,ujenzi wa nyumba 3500 za watumishi wa umma Nzuguni na mradi wa ujenzi wa nyumba 20 za viongozi katika eneo  la Kisasa .

Mhe.Abdulla ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutekeleza miradi hiyo mikubwa ambapo amesema hiyo ni hatua kubwa na wataenda kushauri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar jinsi ya kutekeleza miradi.

“Ni wajibu wetu  kuishauri Taasisi husika, nichukue nafasi hii kuipongeza Seriakali ya Jamhuri ya Muungano kwa kutekeleza miradi hii mitatu hii ni hatua kubwa na ni uwekezaji mkubwa sana utayari huu ni funzo kubwa ambalo tumelipata.

“Miundombinu hapa tayari kabla hata ya miradi hilo ni funzo pamoja na sera sheria na kanuni ili tuweze kupata ufanisi katika miradi yetu,”amsema.

Kwa upande wake Mjumbe wa Kamati hiyo,ambaye ni Mbunge wa  Jimbo la Mtoni, Hussein Ibrahim Makungu ameshukuru kwa mashirikiano ambayo wamekuwa nao  katika mambo ya maendeleo na wameona maendeleo ni makubwa hasa katika nyumba za viongozi na watumishi.

“Na mimi niseme katika kuona kwangu kote nimeona ufanyaji wa kazi niwapongeze sana TBA mpaka nimeuliza kuna Wakandarasi kutoka nje lakini nimeambiwa ni wa ndani niwapongeze sana.

“Tunataka kujifunza hata kuchukua wakandarasi kutoka  Tanzania Bara waje watusaidie, kuliko kutoa nje tumeona matatizo mengi hili jambo ni zuri na tutaenda kuwaambia kule vijana wanasoma baada ya muda watakuwa wamemaliza,”amesema.

Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ),Joseph Kilangi amesema wamekuja kujifunza miradi hiyo kwa kutambua kwamba wanaingia katika kipindi cha  bajeti.

“Ujio wetu ni kuona Serikali ya Tanzania inaendesha vipi miradi yake ,hii miradi yote ndio  ndoto na  kwetu Zanzibar kuja hapa ni kupata uelewa zaidi.Tumejifunza mambo mengi najionea maendeleo makubwa na mikakati ambayo imewekwa,”amesema.

Awali  Mkurugenzi wa Huduma za  Ushauri TBA,Wencelaus Kizaba  amesema kwa awamu ya kwanza na pili  katika mradi wa Mji wa Serikali Mtumba zimetengwa zaidi ya shilingi bilioni  620 kukamilisha miradi hiyo.

 “Na kwa sisi TBA miradi ambayo tunaisimamia tumeweka timu ya wataalamu 50 ambao wanafanya kazi kila siku kuangalia changamoto zote ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi.Kwa miradi mingine ni utoaji wa fedha kwa wakati tunaishukuru Serikali katika miradi yetu ile fedha imetoka kwa wakati,”amesema.

Aidha,ameishukuru Kamati hiyo kwa kutembelea miradi hiyo ambapo amedai anaamini mashirikiano hayo yanataendelea ili na Zanzibar iweze kujenga miradi yenye viwango.

“Kwa kawaida mimi napenda kuishukuru Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati kwa kuja kujifunza TBA inafanya kazi kwa namna gani na tumewatembeza.Tumeona wameshukuru  na tunapenda ushirikiano uendelee na Zanzibar tumekuwa na mashirikiano kwa karibu na tuna miradi tunaifanya kule,”amesema.

About the author

Alex Sonna