Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

VYOMBO VYA HABARI VITANGULIZE UZALENDO KATIKA UTENDAJI WAKE-MAJALIWA

Written by Alex Sonna

* Asema Serikali itahakikisha uhuru wa vyombo vya habari unaimarishwa na kulindwa

 

HABARI ni moja kati ya haki za msingi za binadamu kwa kuwa kila mwananchi anayo haki ya kupokea au kutoa habari kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa.

 

Vyombo vya habari vimepewa jukumu la kutoa habari, kuburudisha na kuelimisha jamii kuhusu matukio na masuala mbalimbali yanayojitokeza ndani na nje ya nchi. Upatikanaji wa habari sahihi na kwa wakati huchangia katika kukuza uchumi, kuimarisha demokrasia na utawala bora.

 

Hivi karibuni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alizindua vituo vya Kurushia Matangazo ya Redio vya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Wilayani Ruangwa – Lindi kwa niaba ya vituo vingine vya wilaya za Ludewa (Njombe), Mlimba (Morogoro) na Ngara (Kagera).

 

“Tukio la leo pamoja na kuzinduliwa kwa matangazo ya redio katika vituo vya Ruangwa, Ludewa, Kilombero (Mlimba), Ngara na maeneo ya jirani ni utekelezaji wa ahadi za CCM kwa wananchi kwa kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025.”

 

Waziri Mkuu alisema Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano  (2020/2021 – 2025/2026) umeainisha vipaumbele vyake katika uwekezaji wa miundombinu ya utangazaji ya TBC, ikiwemo upanuzi wa usikivu wa redio, pamoja na miundombinu.

 

 “Kadhalika, Ilani ya Uchaguzi ya CCM (Ibara 125) inaielekeza Serikali kuwekeza katika uimarishaji wa miundombinu ya utangazaji kwa TBC. Hivyo, kuzinduliwa kwa matangazo ya Redio katika vituo vya Ruangwa, Ludewa, Kilombero (Mlimba), Ngara na maeneo ya jirani ni utekelezaji wa ahadi za CCM kwa wananchi kwa kipindi cha 2020 hadi 2025.”

 

 Aidha, Waziri Mkuu aliwapongezea watendaji wa wizara na taasisi zilizo chini yake kwa kutekeleza kwa vitendo mpango huu wa Taifa kwa wananchi wa Wilaya ya Ruangwa, Ludewa, Kilombero (Mlimba), Ngara na maeneo ya jirani.

 

Alisema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inajenga miradi hiyo ikiwa ni hatua muhimu katika kutekeleza malengo yake ya kufikisha habari kwa wananchi wote na mahala popote.

 

“Nia ya Serikali ni kuendelea kuuhabarisha, kuuelimisha na kuuburudisha umma kwa njia ya redio, televisheni na mitandao ya kijamii. Nitumie fursa hii kuwapongeza TBC na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) kwa kazi nzuri.”

 

Hata hivyo, Waziri Mkuu alisema katika kuhakikisha wananchi wanapata habari sahihi vyombo vya habari havina budi kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na weledi pamoja na kutanguliza uzalendo na maslahi ya Taifa.

 

Pia, alisisitiza kwamba Serikali itaendelea kusimamia matumizi ya mitandao ya kijamii ili pamoja na kuongeza upatikanaji wa habari kuwepo na uzingatiaji wa maadili na weledi. “Ni matarajio yetu kuwa moja ya majukumu yenu ni kulisemea Taifa letu.”

 

Alisema Serikali itahakikisha uhuru wa vyombo vya habari nchini unaimarishwa na kulindwa na akawataka wamiliki na wanahabari wanatakiwa wazingatie maadili na weledi katika kazi zao ili wananchi waendelee kupata taarifa sahihi kwa urahisi zaidi na kwa wakati.

 

Alitumia fursa hiyo kuwasisitiza wamiliki wa vyombo vya habari wahakikishe wanahabari wanapatiwa mikataba ya ajira inayozingatia sheria za ajira sambamba na kufanya utafiti wa habari ili kuepuka upotoshaji kwa kuchapisha au kutangaza taarifa zinazolenga kuchonganisha jamii.

 

Pia, Waziri Mkuu aliielekeza TBC, UCSAF na TANESCO kukaa pamoja na kuhakikisha wanatatua changamoto zikiwemo za kukatika katika kwa umeme zinazokabili baadhi ya vituo kama vile Ludewa, Mbinga na Kisaki kwa lengo la kuwapatia wananchi wetu huduma ya Habari na Mawasiliano. “.”

 

“Ninatambua kuwa Serikali imeendelea kuongeza bajeti ya TBC ili kutatua changamoto za usikivu. TBC inatekeleza miradi ya upanuzi wa usikivu kwa fedha za Miradi ya Maendeleo katika wilaya za Karagwe (Kagera), Same (Kilimanjaro), Sikonge (Tabora), Kahama (Shinyanga), Bunda (Mara), Nkasi (Rukwa), Kasulu (Kigoma), Kilwa (Lindi), Serengeti (Mara).”

 

Miradi mingine inatekelezwa katika mikoa ya Njombe, Simiyu na Songwe pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba upande wa Tanzania Zanzibar. Alisema kukamilika kwa miradi hii kutawezesha usikivu wa TBC kufikia Wilaya 120 sawa na asilimia 83 kutoka wilaya 103 sawa na asilimia 64 za usikivu wa sasa.

 

Kwa upande wake, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alisema mradi wa ujenzi wa kituo hicho umegharimu shilingi milioni 430 kwa udhamini wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF). Pia vituo vingine vitatu vilivyozinduliwa leo navyo ujenzi wake umedhaminiwa na UCSAF.

 

Alisema maeneo mengine ambayo miradi inaendelea kutekelezwa kwa ushirikiano wa TBC na UCSAF ni  katika wilaya za Ngara (Kagera), Kyela (Mbeya), Ruangwa (Lindi), Kilombero/Mlimba (Morogoro), Ludewa (Njombe), Mlele (Katavi),  Makete (Njombe), Uvinza (Kigoma), Mbinga (Ruvuma) na Ngorongoro (Arusha).

 

“Ninapenda niwahakikishie kuwa Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi shupavu wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kupanua usikivu wa redio za TBC nchi nzima.”

 

Naye, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Justina Mashimba alisema mfuko huo utaendelea kushirikiana na Serikali ili kuboresha mawasiliano na usikivu wa huduma za radio kwa kuwafikia wananchi kote nchini.

 

Awali, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayoub Ryoba amesema, Shirika hilo limejipanga kuhakikisha wanaendelea kuuhabarisha umma wa wa Tanzania kwa uhakika na weledi kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi huku akiishukuru Serikali kwa kuendelea kuwekeza katika uboreshaji wa miundombinu ya shirika hilo.

About the author

Alex Sonna