Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA INSHA YA MASUALA YA MUUNGANO

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya kompyuta mpakato, Mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Kassim Majaliwa, Calvin Omari, baada ya kua mshindi wa kwanza kwenye uandishi wa insha ya masuala ya Muungano, ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Kassim Majaliwa, Calvin Omari (wapili kulia) baada ya kua mshindi wa kwanza kwenye uandishi wa insha ya masuala ya Muungano, ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 26, 2022. Kutoka kushoto ni Mzazi wa (Calvin) Filbert Taratibu, Mkuu wa Shule ya Sekondari Kassim Majaliwa,David Mwakalobo na kulia ni Mwalimu wa somo la Kiswahili, Stamili Mmenyuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor