Featured Kitaifa

DKT.MPANGO AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Kitabu cha Historia ya Muungano mmoja wa waliochanganya Udongo siku ya Muungano mwaka 1964 mzee Hasanieli Mrema wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi kadi ya bima ya Afya mmoja wa waliochanganya Udongo siku ya Muungano mwaka 1964 mzee Hasanieli Mrema wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Saada Omary Ali mwanafunzi wa Skuli ya Hifadhi Zanzibar akiwa miongoni mwa washindi wa uandishi wa insha katika mada za Muungano wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizindua Kitabu cha Historia ya Muungano wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wanafunzi na wananchi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano yaliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma. Aprili 26,2022.

About the author

mzalendoeditor