Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA DUNIA JIJINI WASHINGTON DC

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwasili Makao Makuu ya Shirika la Fedha Duniani Washington DC nchini Marekani. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na baadhi ya Viongozi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) pamoja na Ujumbe aliofuatana nao, kwenye picha ya pamoja Makao Makuu ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) Washington DC nchini Marekani. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mkugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bibi Chiristalina Georgieva, Makao Makuu ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) Washington DC nchini Marekani.   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipokea kitabu cha Taarifa ya miaka 20 ya Usimamizi wa Uchumi katika Afrika Mashariki, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bibi Christalina Georgieva, Makao Makuu ya Shirika hilo Washington DC nchini Marekani.

About the author

mzalendoeditor