Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat

sahabet

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

avrupabet

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet

kavbet

piabellacasino giriş

pashagaming

casinoroyal

teosbet

piabellacasino

norabahis

artemisbet

piabellacasino

casinoroyal

almanbahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10

dinamobet giriş

jojobet

casibom

ultrabet

goldenbahis

jojobet

jojobet

casibom

casibom

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

jojobet

royalbet

jojobet

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

perabet

betpark

holiganbet

vdcasino

jojobet

casibom

maxwin

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

betebet

betpas

Featured Kitaifa

WIZARA YA ELIMU KUGHARAMIA MUSWADA WA UCHAPAJI WA RIWAYA

Written by Alex Sonna

Wawakilishi wa Mwandishi wa kitabu cha Hesabu Darasa la Saba David Inzofu wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kuwasilisha nakala za vitabu hivyo ofisini kwake jijini Dodoma

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) akizungumza na wawakilishi wa Mwandishi wa kitabu cha Hesabu darasa la saba ndugu David Inzofu wakati walipofika ofisini kwake Jijini Dodoma kuwasilisha baadhi ya nakala za kitabu hicho.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) akipokea nakala za vitabu vya Hesabu kutoka kwa mmoja wa wawakilishi wa mwandishi wa kitabu hicho Mwalimu David Inzofu jijini Dodoma

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) akiangalia kitabu cha Hesabu Darasa la Saba kilichoandikwa na Mwalimu David Inzofu mara baada ya kukipokea kutoka kwa wawakilishi wake jijini Dodoma

……………………………………….

Na WyEST
DODOMA

# Bajeti kutengwa kusadia uchapishaji wa miswada mahiri

#Miswada kushindanishwa

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema Wizara itatenga bajeti kwa ajili ya mtu yeyote mwenye muswada wa kuandika riwaya ambazo zitashindanishwa na muswada ambao utashinda utagharamiwa uchapishaji wake na Wizara.

Amesema hayo Jijini Dodoma alipokutana na wawakilishi wa Mwandishi wa Kitabu cha Hesabu kilichoandikwa kwa kutumia mitaala ya Kenya, Uganda na Tanzania, David Inzofu ambapo amesema lengo ni kuona kunakuwa na Watanzania wengi wanaojitokeza kuandika vitabu.

Waziri Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kuhakikisha kitabu hicho kinapitiwa na wataalamu kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) ili kama kuna sehemu ya kuboresha iweze kuboreshwa kwa lengo la kumsaidia mwandishi huyo ili kuongeza hamasa kwa Watanzania wengi zaidi kuandika vitabu na kuhamasisha usomaji.

“Tunataka kusaidia waandishi ambao wanataka kuandika riwaya. Tunaposema elimu yetu tunataka iakisi mahitaji ya nchi yetu na utamaduni wetu tungependa pamoja na wanafunzi kusoma vitabu vya nje wasome pia vilivyoandikwa na Watanzania,” amesema Prof. Mkenda.

Amesema kumekuwepo na maoni ya kutumia Kiswahili kufundishia katika siku zijazo, hivyo kunahitaji maandalizi ili kuweza kufika huko, Watanzania wenyewe waandike vitabu wawe tayari, uwezo na uzoefu wa kutafsiri vitabu vya Kiingereza kuwa vya Kiswahili.

“Tungependa kukuza Kiswahili na hii inahitaji maandalizi, hivyo lazima kuwe na vitabu vingi vya Kiswahili, huwezi kuanza kutumia lugha ya Kiswahili huku vitabu vikiwa vya Kiingereza. Huyu mwalimu David Inzofu nafurahi kwamba ametafsiri hiki kitabu kwa Kiswahili itabidi tumsaidie ili Baraza la Kiswahili lihakiki kitabu hicho,” ameongeza Waziri Mkenda.

Kwa upande wao, mmoja wa wawakilishi wa mwandishi wa kitabu hicho, Novatus Makunga amemshukuru Waziri Mkenda kwa kukubali kupokea nakala hizo kwa ajili ya kuvipitia, akisema hiyo inaonyesha nia njema ya Serikali iliyo nayo kushirikiana na wadau wengine wa elimu katika kuendelea kuboreaha elimu nchini.

About the author

Alex Sonna