Featured Kitaifa

  RAIS DK.MWINYI ASHIRIKI UCHAGUZI 

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kura yake katika Shina namba moja Tawi Chama Cha Mapinduzi Kilimani Shehia ya Kilimani Unguja kumchagua Mwenyekiti wa Shina na Wajumbe, uchaguzi huo uliofanyika katika Tawi hilo Migombani 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchama wa Shina namba moja Tawi la CCM Kilimani Unguja, baada ya kumaliza kupiga kura yake kumchangua Mwenyekiti na Wajumbe wa Shina namba moja Tawi la CCM Kilimani Unguja uliofanyika leo 22-4-2022.na (kulia kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe Toffiq Salim Turky.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor