Featured Kimataifa

TANZIA: MWAI KIBAKI AFARIKI DUNIA

Written by Alex Sonna

Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu nchini Kenya  Mhe.Mwai Kibaki  amefariki Dunia Leo Aprili 22, 2022 akiwa na umri wa miaka 90.

Kibaki alikuwa Rais wa tatu wa Kenya alihudumu kwenye kiti hicho kuanzia Desemba 2002 mpaka Aprili 2013.

About the author

Alex Sonna