Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MTAYARISHAJI WA FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtayarishaji wa Filamu ya Tanzania Royal Tour Peter Greenberg wakati wa uzinduzi wa Filamu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Sinema wa Paramount Jijini Los Angeles nchini Marekani tarehe 21 Aprili, 2022.

About the author

mzalendoeditor