Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani mara baada ya kuzungumza nao.