Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge wakati alipoingia bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na msanii wa mipasho, Swalehe Juma Nassoro maarufu Dkt. Kumbuka, kwenye viwanja vy Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)