Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

VIFO VITOKANAVYO NA MALARIA NCHINI VIMEPUNGUA KWA ASILIMIA 70

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Kitengo cha ufuatiliaji wa tathmini ya udhibiti wa Malaria, Dk.Sijenunu Aron  akitoa mada ya hali ya Maralia nchini katika semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani iliyofanyika leo April 20,2022 jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha udhibiti wa Mbu waenezao Malaria Bw.Winfred Mwafongo,akielezea mkakati wa udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia ya utangamano wakati wa  semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani iliyofanyika leo April 20,2022 jijini Dodoma.

Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa kudhibiti Malaria Dk.Abdallah Lusasi akitoa mada kuhusu mkakati wa uchunguzi,Matibabu wa Malaria na Tiba Kinga kwa wajawazito wakati wa  semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani iliyofanyika leo April 20,2022 jijini Dodoma.

Afisa wa Kitengo cha uhamasishaji na uraghabishi kuhusu udhibiti wa Malaria Theresia Shirima,wakati wa semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani iliyofanyika leo April 20,2022 jijini Dodoma.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano  Wizara ya Afya Catherine Sungura,akizungumza wakati wa  semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani iliyofanyika leo April 20,2022 jijini Dodoma.

Mwandishi wa habari kutoka Chanel ten Kuringe Mongi,akiuliza swali wakati wa  semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani iliyofanyika leo April 20,2022 jijini Dodoma.

Mwandishi wa habari kutoka Uhuru Selina Mathew akiuliza swali wakati wa  semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani iliyofanyika leo April 20,2022 jijini Dodoma.

Sehemu ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali mkoa wa Dodoma wakifatilia mada mbalimbali wakati wa  semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani iliyofanyika leo April 20,2022 jijini Dodoma.

………………………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

IMEELEZWA kuwa kutokana na utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Malaria nchini vimepungua kwa asilimia 70.

Hayo yameelezwa leo April 20,2022 jijinni Dodoma na Mkuu wa Kitengo cha ufuatiliaji wa tathmini ya udhibiti wa Malaria, Dk.Sijenunu Aron,wakati akitoa mada ya hali ya Maralia nchini katika semina ya waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo hufanyika kila Aprili 25 kila mwaka duniani.

Amesema kuwa utafiti  unaonesha kuwa maambukizi kwa watoto wa shule za msingi yamepungua kutoka asilimia 21.6 mwaka 2017 hadi kufikia asilimia 11.2 mwaka 2021.

Dk. Aron amesema kuwa idadi ya wagonjwa imepunguwa kwa asilimia 53 kwa kila wagonjwa 1000 kutoka wagonjwa 162 hadi kufikia wagonjwa 76.

”Wagonjwa waliolazwa  kutokana na Malaria imepungua kwa asilimia 32 kutoka wagonjwa 307,88 mwaka 2017 hadi 209,888 mwaka 2021 wakati vifo vimepungua kwa asilimia 70 kati ya vifo 100,000 kutoka vifo 6,311 mwaka 2015 hadi 1,909 mwaka 2021”amesema Dk.Aron

 Dk. Aron amesema kuwa pamoja na kupunguwa kwa Malaria hadi kufikia asilimia 7.5 mwaka 2017, bado aslimia 94 ya watanzania wako katika hatari ya kupata maambukizi ya uongojwa huo.

Hata hivyo amesema kuwa mikoa ambayo ina kiwango kikubwa cha Malaria ni Lindi, Mtwara, Pwani, Ruvuma, Tanga na Tabora wakati ile yenye kiwango kidogo ni Kilimanjaro, Manyara, Arusha, Dodoma, Iringa, Singida na Njombe.

Dk.Aron amesema kuwa takwimu za dunia za mwaka 2021, zinaonesha kuwa kwa mwaka 2020 kulikuwa na ongezeko la wagonjwa wanaokadiriwa kufikia milioni 241 katika nchi 85 zenye ugonjwa huo kutoka wagonjwa milioni 227 huku vifo  vikiongezeka hadi kufikia vifo 627,000  kukiwa na ongezeko la vifo 69,000 sawa na asilimia 12 ikilinganishwa na vifo 558,000 kwa mwaka 2019 .

Kwa upande wake Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa kudhibiti Malaria kutoka Wizara ya afya Dk.Abdallah Lusasi ,amesema kuwa hali ya malaria nchini kwa sasa imepungua sana mwaka 2017 tafiti zilionyesha kuwa tulikuwa na malaria asilimia 7.5 lakini sisi tuna mpango mkakati wa kuhakikisha 2023 tunafikia asilimia 5,Mwaka 2025 tufikie asilimia 3.5 na mwaka 2030 tunatokomeza malaria kabisa nchi nzima.

About the author

Alex Sonna