Featured Photos

MATUKIO KATIKA PICHA:RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SC JOHNNSON FAMILIA CHICAGO MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Dkt. H. Fisk Johnson Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family wakati alipotembelea kiwanda kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Dkt. H. Fisk Johnson Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family na Ujumbe wake, kabla ya kutembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu namna ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali, alipotembelea moja ya Kiwanda cha SC Johnson Family kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiangali Wadudu wa aina mbalimbali waliodhibitiwa, alipotembelea moja ya Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu waharibifu waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Dkt. H. Fisk Johnson Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family, wakati alipomtembelea kiwanda cha bidhaa mbalimbali za Viuatilifu kiliopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

About the author

mzalendoeditor