Featured Kimataifa

RAIS SAMIA AFUTURISHA MABALOZI WA EAC NA SADC JIJINI WASHINGTON MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani.

About the author

mzalendoeditor