Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI ZOEZI LA UCHAGUZI MWENYEKITI NA WAJUMBE CCM MBEYA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), leo Aprili 16, 2022 ameshiriki zoezi la uchaguzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Sisimba mtaa wa Uzunguni ‘A’ iliyopo Jijini humo.

About the author

mzalendoeditor