Uncategorized

MAJALIWA ASHIRIKI UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA SHINA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

Written by mzalendoeditor

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga kura kuwachagua viongozi wa Shina namba moja Tawi la Nanguruwe. Uchaguzi huo umefanyika katika Kata ya Nandagala Ruangwa mkoani Lindi Aprili 16, 2022. Chama cha Mapinduzi kipo katika hatua za  kufanya chaguzi za ndani.

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shina baada ya kupiga  kura kuwachagua viongozi wa Shina namba moja Tawi la Nanguruwe. Uchaguzi huo umefanyika katika Kata ya Nandagala Ruangwa mkoani Lindi Aprili 16, 2022. Chama cha Mapinduzi kipo katika hatua za  kufanya chaguzi za ndani.

About the author

mzalendoeditor