Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA RAIS WA NATIONAL DEMOCRATIC INSTITUTE JIJINI WASHINGTON MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Mazungumzo na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell  Jijini Washington Nchini Marekani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell aliyeambatana na Ujumbe wake Jijini Washington Nchini Marekani

About the author

mzalendoeditor