Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi Β wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC Β waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi leo tarehe 13 April 2022.