Featured Kitaifa

AJALI: MSANII MAUNDA ZORRO AFARIKI DUNIA

Written by mzalendoeditor

Msanii wa Bongofleva, Maunda Zorro enzi za uhai wake.

MSANII wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari, usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022 baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga Kigamboni, Dar es Salaam.

Kaka wa marehemu ambaye pia ni msanii wa Bongofleva, Banana Zorro, akizungumza na chombo kimoja cha habari, amethibitisha taarifa hizo na kusema hadi jana jioni alikuwa pamoja na Maunda kwenye msiba wa rafiki yao lakini baadaye akapata taarifa kuwa Maunda amefariki.

Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

About the author

mzalendoeditor