Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AKABIDHI MSAADA WA FUTARI KWA WANANCHI WENYEMAHITAJI MAALUM PEMBA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimkabidhi sadaka ya Futari Sara Haji Ali ambae ni yatima , hafla hiyo ya kukabidhi futari kwa Wananchi wenye mahitaji maalum(Wazee,Watu Wenye Ulemavu na Yatima) iliofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi sadaka ya Futari Bw. Khamis Zaid Khamis, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi Sadaka kwa Wananchi wenye mahitaji maalum.(Wazee,Watu Wenyemahitaji Maalum na Yatima) iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wakati wa hafla ya kuwakabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wenyemahitaji maalum.(Wazee,Watu Wenye Ulemavu na Yatima) iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba leo 13-4-2022 na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor