Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:SPIKA DKT. TULIA AONGOZA WABUNGE KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki futari kwa Wabunge iliyoandaliwa na Waziri Mkuu katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akishiriki futari kwa Wabunge iliyoandaliwa na Waziri Mkuu katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Waheshimiwa Wabunge wakishiriki futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wapili kushoto) pamoja Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (katikati) wakiwa katika futari kwa Wabunge iliyoandaliwa na Waziri Mkuu katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Aprili 12, 2022, Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (wapili kulia) na Mbunge wa Wete, Mhe. Omar Ali Omar

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa futari kwa Wabunge iliyoandaliwa na Waziri Mkuu katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa futari aliyowaandalia Wabunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, 

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor