Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

COSOTA YAINGIA MKATABA NA SUMA JKT KATIKA UKUSANYAJI WA MIRABAHA

Written by Alex Sonna

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Usimamizi wa Hakimiliki, Bw.Philemon Kilaka (katikati) akiwa pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya SUMA JKT Meja Jamal Mohamed (kulia) wakisaini mkataba wa ukusanyaji wa mirabaha katika mkoa wa Dar es Salaam na Dodoma , hafla iliyofanyika leo Aprili 13,2022 kwenye ofisi za COSOTA Jijini Dar es Salaam. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Usimamizi wa Hakimiliki, Bw.Philemon Kilaka (kushoto) akiwa pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya SUMA JKT Meja Jamal Mohamed wakionesha mkataba walioingia wa ukusanyaji wa mirabaha, hafla iliyofanyika leo Aprili 13,2022 kwenye ofisi za COSOTA Jijini Dar es Salaam.Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Usimamizi wa Hakimiliki, Bw.Philemon Kilaka akizungumza katika hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano ya ukusanyaji wa mirabaha na kampuni ya SUMA JKT Auction Mart Ltd, hafla iliyofanyika leo Aprili 13,2022 kwenye ofisi za COSOTA Jijini Dar es Salaam. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Usimamizi wa Hakimiliki, Bw.Philemon Kilaka (katikati) akizungumza katika hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano ya ukusanyaji wa mirabaha na kampuni ya SUMA JKT Auction Mart Ltd, hafla iliyofanyika leo Aprili 13,2022 kwenye ofisi za COSOTA Jijini Dar es Salaam. Mwanasheria COSOTA Bw.Zephania Lyamuya akizungumza katika hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano ya ukusanyaji wa mirabaha na kampuni ya SUMA JKT Auction Mart Ltd, hafla iliyofanyika leo Aprili 13,2022 kwenye ofisi za COSOTA Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya SUMA JKT Meja Jamal Mohamed akizungumza katika hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano ya ukusanyaji wa mirabaha na kampuni ya SUMA JKT Auction Mart Ltd, hafla iliyofanyika leo Aprili 13,2022 kwenye ofisi za COSOTA Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

*************************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

TAASISI ya Hakimiliki (COSOTA) imeingia mkataba na Kampuni ya SUMA JKT Auction Mart Ltd kwaajili ya ukusanyaji wa mirabaha katika Mkoa wa Dar es Salaam na Dodoma ambapo mkata huo ni wa mwaka mmoja kuanzia leo Aprili 13,2022.

Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Usimamizi wa Hakimiliki, Bw.Philemon Kilaka amesema utaratibu wa kukusanya na kugawa mirabaha umekuwa ukifanyika sehemu mbalimbali Duniani na katika maeneo mbalimbali ya biashara yanayotumia kazi za muziki na filamu.

“Katika kuhakikisha wasanii wananufaika na matumizi ya kazi zao katika maeneo mbalimbali ya kibiashara COSOTA inaendelea kuingia mikataba na mawakala katika sehemu mbalimbali ili kuhakikisha inaongeza makusanyo kwa kufikia maeneo mengi”. Amesema Bw.Kilaka.

Aidha Bw.Kilaka amesema imeomba mawakala hao kupewa ushirikiano kote watakapopita na mawakala hao watatambulika kwa vitambulisho vilivyotolewa na COSOTA pamoja kwa upande wa mawakala kutoka SUMAJKT watatambuliwa kwa vitambulisho vya ofisi yao.

Pamoja na hayo ametoa wito kwa watumiaji wa kazi za muziki na filamu nchini katika maeneo ya kibiashara kuhakikisha wanalipia matumizi ya kazi hizo COSOTA ili kuepusha usumbufu pale zoezi la operesheni ya ukaguzi litakapofanyika.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya SUMA JKT Meja Jamal Mohamed amesema kampuni hiyo imekuwa na uzoefu mkubwa katika ukusanyaji wa mapato hivyo amewataka wananchi kuwapa ushirikiano wa kutosha katika utekelezaji wa jukumu hilo.

“Kazi za sanaa ni kazi kama aina nyingine za kazi katika kutafuta vipato, wasanii wanatumia akili zao, nguvu zao na muda wao katika kuandaa kazi zao hivyo nao wanahaki ya kufaidika kama wanavyofaidika watu wengine wanaofanya shughuli za uzalishaji mali”. Amesema .

Hivyo basi amesema watahakikisha kazi hiyo wanaifanya ipasavyo na kwa kufuata sheria, kanuni na utaratibu mbalimbali  zinazoongoza nchi hii.

About the author

Alex Sonna