Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

vdcasino

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

pusulabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

betsmove, betsmove giriş

nakitbahis, nakitbahis giriş

perabet, perabet giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

casibom, casibom giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

flower disease

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

ultrabet

madridbet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

galabet

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

casibom giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino siteleri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

jojobet

meritking

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

milanobet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

truvabet, truvabet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

cratosroyalbet

betpark

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

pokerklas, pokerklas giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

jojobet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

imajbet

holiganbet

marsbahis

matbet

matbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

grandpashabet

madridbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

meritking

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

galabet

bets10

betpark

casibom

marsbahis

betpark

runtobet

runtobet giriş

Featured Kitaifa

KIKAO MAALUM CCM, MAWAZIRI  KUJADILI HALI YA MAISHA

Written by Alex Sonna

• Ni kuhusu hali ya maisha
• Mwenendo wa uchumi nchini, duniani

Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kimeamua kuitisha kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ambacho kitawaita na kukutana na mawaziri wote kupitia Baraza la Mawaziri, kwa ajili ya kujadili na kutafuta majawabu kuhusu hali ya maisha ya Watanzania, kwa kuzingatia mwenendo wa uchumi nchini na duniani.

Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahman Kinana, leo Jumapili Aprili 10, 2022, alipokuwa akizungumza na viongozi na baadhi ya wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwenye mkutano wa kumpokea na kumpongeza kwa kuchaguliwa na Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika Aprili 1, 2022 jijini Dodoma, kushika dhamana hiyo.

“Ningependa kurudia au kuelezea kauli ya Mwenyekiti wa Chama na Rais, wakati akifunga Mkutano Mkuu wa Chama (maalum) wa CCM Dodoma, alitoa kauli. Rais alisema hivi, kwamba muda si mrefu, katika muda mwafaka ataitisha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Maalum. Na katika kikao hicho atawaita na mawaziri. Lengo ni moja, kwa namna alivyoeleza Mwenyekiti wetu na Rais, kujadili hali ya uchumi wan chi yetu.

“Kuangalia namna tutakavyoharakisha maendeleo ya wananchi. Kuangalia namna tutakavyoshughulika na mipango ya wananchi. Kuangalia hali ya maisha kwa ujumla ya Watanzania. Kwa sababu Rais amesikia mara kadhaa juu ya suala la ugumu wa maisha. Hivyo lazima tukae, tufanye uchambuzi, tuone. Na kikao hicho Mwenyekiti wake atakuwa si mwingine, ila ni Mwenyekiti (wa CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” amesema Ndugu Kinana na kuongeza;

“Si mara nyingi katika historia ya chama chetu, Halmashauri Kuu inakaa pamoja na mawaziri. Lakini rais kwa kuona umuhimu wa jambo hili, ameamua kuwa kutakuwa na kikao cha Halmashauri Kuu. Kazi ya Halmashauri Kuu ni kutengeneza sera, kusimamia utekelezaji wa sera, kuandaa ilani na kusimamia ilani. Kazi ya Baraza la Mawaziri ni kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, kutekeleza ahadi tulizowapatia wananchi na kusimamia maendeleo ya Watanzania.

“Makundi haya mawili yakikaa pamoja, chini ya uongozi wa Mwenyekiti na Rais Samia Suluhu Hassan nina hakika tutatoka na majawabu mazuri ya kusaidia maendeleo ya Watanzania,” amesema Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Ndugu Kinana.

Aidha, Ndugu Kinana ametumia mkutano huo kutoa kauli ya CCM kumthibitishia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa CCM kinashikamana naye kumsaidia kutekeleza wajibu wake kwa wananchi, huku pia akiwataka wanachama wa CCM na Watanzania kwa ujumla, kuendelea kumuunga mkono Rais Samia ambaye ana nia njema na maono mazuri katika sekta zote zinazohusika kuweka mazingira ya wananchi kujiletea maendeleo, ikiwa ni pamoja na kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Ndugu Kinana pia ametoa wito kwa wanachama wote wa CCM kujitokeza kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Chama ambao umeanza mwezi huu, hasa akitoa wito kwa makundi ya vijana na wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali kwa kuzingatia sifa walizonazo kwa mujibu wa Katiba, Kanuni, Miongozo na taratibu mbalimbali za CCM.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Daniel Chongolo amesisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi kiko makini kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Chama unaoendelea nchi nzima kuanzia mwezi huu, unakipatia chama viongozi bora watakaokiongoza kuendelea kuwatumikia Watanzania, huku akiwakemea wote ambao wameanza au wanapanga safu za uongozi, kinyume na taratibu za uchaguzi zinazoelekezwa na Katiba ya CCM, Kanuni, miongozo na taratibu zote, kuwa Ofisi ya Katibu Mkuu, ambaye ndiye Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chama, itachukua hatua kali dhidi ya mtu yeyote atayakebainika.

About the author

Alex Sonna